Breaking

Breaking News

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, December 1, 2017

BREAKING: Wema Sepetu atangaza kuondoka CHADEMA, arudi CCM



Baada ya miezi ya Mwigizaji Wema Sepetu kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)akitokea CCM, leo Miss Tanzania huyu wa mwaka 2006 ametangaza kurudi CCM.
Ameandika maneno yafuatayo >>> Siwezi kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani…. #ThereIsNoPlaceLikeHome… Feels good to be Back…”

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages